Home Latest News Avunja rekodi ya dunia kwa kuwabeba wazazi wake wawili siku 7 ili...

Avunja rekodi ya dunia kwa kuwabeba wazazi wake wawili siku 7 ili wakimbie vita.

298
4
SHARE
kutoka-simamia.com na (Shaaban)

simamiateam@gmail.com

Habari kuhusu Kijana aliyevunja rekodi ya dunia na kuwa wa kwanza kuripotiwa na vyombo vya habari kuhusu tukio kama hili.. kwa kuwabeba wazazi wake (baba na mama) ambao ni wazee sana kutoka Myanmar Burma kwenda Bangladesh ili kuwaokoa na mauaji ya kikatili yanayofanywa na wanamgambo dhidi ya Waisilamu, na safari hiyo imechukua takribani siku 7 kuimaliza. Akionekana kwenye picha kijana huyo aliwabeba wazazi wake kwenye matenga mawili aliyoyabeberea mabegani mwake. 

Una maoni gani kuhusu taharifa hii ya aina yake kuhusu kijana huyu aliyevunja rekodi hii tuandikie hapo chini kwenye comment.

4 COMMENTS

Comments are closed.