Home Latest News Lissu Afukua makaburi ya rais, Anena mazito.

Lissu Afukua makaburi ya rais, Anena mazito.

1712
6
SHARE
kutoka simamia na (Shaaban)

Lissu amezungumza  kwa niaba ya chama chake cha Chadema. Mb: Tundu  Lissu ma mwanasheria mkuu wa Chadema amezungumza mengi leo yakiwemo ya kugusia maswala mazito ya  taifa zima.. Amekumbusha makosa aliyowahi kuyafanya rais Magufuli kabla ya kuwa rais, ataka ashtakiwe.

Azungumzia athari za Serikali kuvunja mikataba ya wawekezaji wa nje na kudai kuwa ACACIA inakwenda kufungua kesi na kuidai Serikali fedha nyingi.

Aitake serikali kuwahukumu wote waliopatikana na hatia ya uhaini, hususan wale waliotumbuliwa. “Tunaiomba Serikali iweke hadharani kesi zote,”

Amkosoa rais na serikali yake kukiuka sheria. Adai nchi inaelekea kubaya.

Ataka rais awajibishwe na bunge na ashtakiwe.

Una nini cha kuongezea au maoni gani hapa mpenzi msomaji wetu wa nguvu..  tuandikie hapo chini kwenye comment.

6 COMMENTS

  1. Comment:lengo lake nini aweke wazi katiba inasemaje? kuhusu rais ,kushitakiwa,mbona lissu anatafuta kiki tuwe makini ,tutangulize Tanzania kwanza

Comments are closed.