Home Entertainment Shitanda aaga dunia

Shitanda aaga dunia

365
0
SHARE

Shitanda katika uhai wake

Aliekuwa waziri wa nyumba nchini Kenya, Soita Shitanda ameaga dunia kwenye hospitali ya Nairobi jana. Shitanda alikua akitibiwa hapo hospitalini na alikuwa ameugua kwa muda mrefu.

 

Ujumbe wa Mdhamini: Mnakaribishwa katika uzinduzi wa Filamu mpya iitwayo Mama Chapati. Uzinduzi utafanyika Dodoma Hotel tarehe 28. Njoo na mwenzako.
Ujumbe wa Mdhamini:
Mnakaribishwa katika uzinduzi wa Filamu mpya iitwayo Mama Chapati. Uzinduzi utafanyika Dodoma Hotel tarehe 28. Njoo na mwenzako.

Shitanda alikua amechangia mengi katika ujenzi wa uchumi wa niche yake. Alikua  ni mwenyekiti wa shirika la maendeleo ya kilimo nchini Kenya.

SHARE
Previous articleObama mjini Hanoi
Next articleUZINDUZI WA FILAMU YA “MAMA CHAPATI” KUFANYIKA DODOMA HOTEL
Karibuni sana kwa majina naitwa Director Flan. Ni mwandishi wa kuaminika Africa Mashariki na Kati Tutakuwa wote kwenye blog hii ya Www.Simamia.com. Nitakuwa natoa habari za kimataifa pamoja za michezo bila kusahau kufundisha ujasilimali hapa hapa kwenye hii blog. Tembelea hii blog ya Www.Simamia.com mara kwa mara ili kujipatia habary moto moto. Nashukuru sana na karibuni.