Home Latest News Hali ya Tundu Lissu Ilivyo baada ya kupigwa Risasi.

Hali ya Tundu Lissu Ilivyo baada ya kupigwa Risasi.

6881
24
SHARE
kutoka simamia.com na (Shaaban)

Kwa Ufupi: Mwanasheria mkuu wa Chedama na Rais wa Wanasheria Nchini Tundu Lissu. Amepigwa Risasi Leo September 7. Mkoani Dodoma.

simamiateam@gmail.com/kisleufahari@gmail.com

Dodoma: Mwenyekiti wa chama Cha demokrasia na Maendeleo Taifa mh: Freemani Mbowe Akikabidhiwa Nguo Ambazo Alikua Amevaa Tundu Lissu Zikiwa Zimelowa Damu nyingi, Tumuombee Tundu lissu Kapigwa risasi nyingi tumboni na miguuni hali yake sio nzuri.
Inadaiwa Hali yake inazidi kubadilika na kuwa mbaya  kila sekunde.

Endelea kufuatilia simamia kwa Habari zaidi.

Tuandikie maoni yako hapo chini kwenye comment.

24 COMMENTS

  1. Ama Kweli Nchi Tulipofikia Panatisha Nihatari Kwa Sisi Sote Tusipoziba Ufa Tutajenga Ukuta Manake Matukio Yakutisha Kila Kukicha Sifa Ya Amani Ya Tz Inapotea

  2. Pole San Allah atakuponya binadamu shida San lkn natambua serikali inamkono mrefu watakamatwa tu wote walio usika kwenye unyama uo Tanzania yetu hatujazowea mambo kama hayo

  3. nihatari xana kama ulaya kichakapewa rungu kumbe bunduki haiuwuyiii wa2 wa2 wanauwa wa2 huumchezo nikama soka jamani

  4. tumuombe Mungu amsaidie ili aweze kupona amakweli dunia da! ulimwengu shujaa siku za mwisho zimefika

  5. Mungu 2naomba wa tanzania ote uelekeze uponyaji wako kwa mh tundu lisu aweze kupona vzr maama wewe ndio mponyaji! dah! cjui tz tunaekea wapi? imani inadhidi kupotea.

  6. mungu nakuomba umponye huyu ndugu majeraha yote na maumivu yote aliyo nayo mwilini mwake ni katika jina la yesu naamini unaenda kutenda Amen

Comments are closed.