Home Entertainment (Video) Diamond Amgeuza zilipendwa Alikiba.

(Video) Diamond Amgeuza zilipendwa Alikiba.

1768
13
SHARE
Picha: Diamond platinum, Upande wa Kushoto. Alikiba Upande wa Kulia picha na Shaaban.
kutoka simamia.com na (Shaaban)

Kwa Ufupi: (Tahariri ya Habari)
Habari hii ni muendelezo wa Habari za Ushindani kati ya Nguli wawili wa Muziki. Ambapo kwa Awamu hii ugomvi wao huu umekuja kwa sura ya tofauti.

simamiateam@gmail.com

Tanzania: Wakali wa Muziki wa Kizazi kipya Bongo Flavour Abudul Naseeb “Diamond Platinumz” na Ally Kiba “king Kiba” yapata takribani siku chache zinazo hesabika, tangu kuibuka kwa sura Mpya ya bifu lao ambapo msimu huu wameamua kuoneshana ubabe kwa kazi, tarehe 25/Agost 2017 ni tarehe ambayo Diamond platinum ameachia Ngoma yake ya Zilipendwa akiwa na Kundi lake loote la WCB wasafi, huku wakimfuatia Alikiba ambaye aliachia Naye ngoma yake ya seduce. Masaa kadhaa kabla yao.
Ambapo kwa hatua hii watalaamu wa mambo wanaeleza kuwa ni hatua ya kujibizana na tayari jibu Alilopewa Alikiba ni kuwa yeye mda wake umekwisha amebakia kuwa zilipendwa.
Kwa upande mwingine wadau wamethibitisha hili kutokana na uhakika kuwa Diamond platinum. Alipotoa Ngoma yake kila mmoja amegeukia kuikubali na ndiyo sasa inayo kaliliwa kwa kasi na watu wengi ili waweze kuiimba sehemu mbali mbali. tofauti na ile ya Alikiba ambayo wengi wameonyesha kutokuwa na mda nayo.
Kutokana na ufuatiliaji uo simamiaMediaGroup tukathibitisha kuipa habari hii kichwa kisemacho “Diamond Amgeuza Zilipendwa Alikiba”
Hapa chini tumekuwekea kipande cha burudani ya Zilipendwa kwa Njia ya Video Tazama kisha toa maoni yako.

Unadhani wewe kama mdau wa Muziki, unazungumziaje hatua hii iliyofikiwa kati ya Diamond platinum na Alikiba. tuandikie maoni yako hapo chini kwenye comment.

13 COMMENTS

  1. Msipo kuwa na akili ya kujiongeza povu litawatoka sana, mie kuna kitu nimesanukia hawa watu wanataka wachanganye akili za mashabik zao bure il wao wanapendana kinyama, me naona hizo ni kiki tu za kazi zao, nyie mtatukana weeeeeeeeh ila wenzenu wako pale pale

  2. WCB wako vizuri , sana, wana I dea nzuri, video zao Kali sound nzuri, Lakini pia Alikiba yuko vizuri sana2, chamsingi Aboreshe video, location, apangilie mistari, mambo yata kaa sawa2, ila kwa sasa zilipendwa ndo nyimbo Kali zaid , ila ntamuomba alikiba airudie hii ngoma yake reduce me

  3. Comment:kukaa kimya ya alikiba bado anatunga sheria na kila umoja anajuwa vizuri kwamba alikiba ni mtu anafanya kazi nzuri za kuelimisha jamii na pia tusisahau km yy ni asali ya warembo.

Comments are closed.