Home Latest News Rais Magufuli Afanya, Hisitoria Nyingine katika Uongozi wake.

Rais Magufuli Afanya, Hisitoria Nyingine katika Uongozi wake.

462
0
SHARE
kutoka simamia.com na (Shaaban)

Kwa Ufupi:
Habari hii ni muendelezo wa kumuangazia Rais katika mambo makubwa ya kihisitoria anayoyafanya katika kipindi cha uongozi wake.

simamiateam@gmail.com

Dar es Salaam: Habari katika picha ni Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana pamoja na kuzungumza na abiria mbalimbali wakati akisubiri kuvuka kwa kutumia usafiri wa Pantoni kuelekea katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni jijini Dar es Salaam 25 Agosti 2017.
Rais Magufuli amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bw. Paul Makonda kufanyia kazi ombi la wananchi wa eneo hilo la kutaka kujengewa kituo cha Daladala.
Picha/simamiaMediaGroup, Tanzania. Zitazame zoote tulizokuwekea hapo chini.

Mh! Rais akifurahia jambo na wananchi waliobahatika kuwa karibu naye.
Akuzungumza na wananchi waliofika hapo.
Rais Magufuli akivuka pamoja na wananchi.
Nyuso za furaha zikiwalwnga wananchi walikuwa karibh na Mh: Rais Magufuli.

tuandikie maoni yako hapo chini kwenye comment kuhusu uzalendo wa Mh! Rais.