Home Business Magazeti Yoote ya Tanzania Yafungiwa Yatakwa kusajiliwa upya kwa mashariti Makali.

Magazeti Yoote ya Tanzania Yafungiwa Yatakwa kusajiliwa upya kwa mashariti Makali.

991
4
SHARE
kutoka Simamia.com na (Shaaban)

Mfumo mpya wa utoaji leseni ni muendelezo wa azma  ya kuifanya tasnia ya habari kuwa taaluma.

Dar es Salaam.

Picha msemaji wa serikali Dk. Hassan A bass alipozungumza na waandishi wa habari.
picha na maktaba yetu simamiaMediaGroup.

 Msemaji wa Serikali  Dk Hassan Abbasi  amesema kwamba kuanzia leo hadi Oktoba  15, Magazeti yote yataanza kusajiliwa upya.

‘Baada ya Oktoba 15, 2017 hakuna atakayeruhusiwa kuchapisha bila usajili”Amesema Dk Abbasi

Ameongeza kwamba  “Mfumo mpya wa utoaji wa leseni kwa machapisho yote umeanza rasmi leo ‘’

Amesema  taratibu zote za upatikanaji wa leseni zimewekwa katika tovuti   http://www.maelezo.go.tz “-

Mawasiliano kwa ajili ya ufafanuzi kuhusu utaratibu wa usajili ni 0622664606 na 0717312417 au kupitia maelezo@habari.go.tz

Unafikirinini kuhusu haya je, kwa upande wako unahisi serikali inalenga kitu gani hapa tuandikie hapo chini kwenye comment.

4 COMMENTS

  1. Serikali imeisha shindwa kujenga viwanda ilivyo ahidi sasa inataka kufuga magazeti yanayo andika habari za ukweli inataka kila mtu asome uhuru.

Comments are closed.