Home Politics RUVUMA: VIONGOZI WA CHEDEMA WALIOKAMATWA KUSINI WAACHILIWA HURU

RUVUMA: VIONGOZI WA CHEDEMA WALIOKAMATWA KUSINI WAACHILIWA HURU

91
0
SHARE

NYASA, RUVUMA: Katibu Mkuu wa Chadema Dkt. Vincent Mashinji, wabunge wawili wa chama hicho na viongozi wenzao sita wa chama waliokamatwa na Jeshi la Polisi na kushikiliwa tangu juzi wilayani Nyasa, mkoani Ruvuma wameachiliwa huru leo.

Afisa Habari wa Chadema Tumaini Makene amethibitisha kuachiliwa kwa viongozi hao.