Home Latest News Muumini wa kanisa la Sloam la Dar Ajikuta Matatani

Muumini wa kanisa la Sloam la Dar Ajikuta Matatani

308
4
SHARE
Ni mimi Shaban Said, ama kwa jina la kitaluma, Kisleu, nikiwa nafanya moja ya interview kwenye studio za Simamia, mjini Dar Es Salaam

Ndugu wanasimamia, nashukuru kwa kuendelea kutufatilia na naoma nichukue nafasi hii kuwaomba msamaha kwa kutokua hewani. Na andika hii Makala kama moja ya ahadi nilizoweka kuwa nitaomba msamaha ulimwengu na wale wapenzi wa Simamia.com kwa maana nimerudisha nyuma wafanyakazi wenzangu, wapenzi wa simamia na hata kutia ajitia aibu na ndugu zangu pia.

Nawaombeni msamaha kwa kupotea kwani nilikua nimeshikiriwa katika gereza la Segerea, Dar es salaam na sikua na ndugu wa kuja kunisaidia. Wale niliodhani ni marafiki walinikana na wengine hata hawakutaka kupokea simu zangu. Kwa kweli niliteseka na najutia yale niliyoyafanya.

 
Kwa hiyo basi, kwa moyo mkunjufu na kuonyesha nia ya kuwaomba msamaha,
Mimi kama Shaban Rashid Said, nijulikanae pia kama Kisle Eliya Faraja, muumini katika kanisha la Pool of Sloam Church Nakili kuwa nimekosea kampuni ya Simamia na kuwakosea ninyi mnaokuja katika hii tivoti kufatilia habari tunazowaletea. Niliambiwa watu wa kanisa la Sloam walijifanya hawanijui huku nilikua muumini na pia nafanya kazi kwenye redio yao na nierusha matangazo mengi. Niliachana nao nilipoona hawanilipi mafao yangu.

Nilikua nimeshikiwa polisi kwa kosa la kutapeli mali ya kampuni hii na kwa kuwa nimetumia vibaya majina ya watu, wakiwemo wachungaji, ndugu zangu. Nimejikuta katika matatizo makubwa na kupelekwa polis na kisha kufungwa kwa muda. Kama mfanyakazi wa Simamia.com, tulikuwa tumetumiwa vifaa vya kiofisi ili tufanye kazi za kijournalist kwa hali ya kisasa. Sasa nilipotokea kuja kupokea hivyo vifaa ili niendelee na kazi zangu, hapo ndipo nilinaswa na polis na kupelekwa Central. Baadae nilihamishiwa Kawe nikabahi hapo kituoni mpaka kesi yangu iliposomwa.

Moja ya nilichoonywa na jeshi la polis ni kutojishugulisha na mambo ya uandishi wa aina yoyote, uwe ni mtandaoni ama kupiga picha. Niliambiwa nikikutwa najishughulisha na mambo ya journalism ya aina yoyote nitakua nimekeuka masharti yanayonifanya niwe huru uraiani.

Kama kielelezo cha kosa langu na kuwaombeni msamaha kutoka moyoni, angalieni hii video.

 

 

Ni mimi Shaban Said, ama kwa jina la kitaluma, Kisleu, nikiwa nafanya moja ya interview kwenye studio za Simamia, mjini Dar Es Salaam

 

Na baadhi ya programs ambazo nimeshawahi kufanya ni kama zifatazo:

Amka Tumwabudu Mungu

Link: https://www.spreaker.com/user/9271668

Shuhuda kwa Mungu

Link: https://www.spreaker.com/user/9271668/shuhuda-kwa-mungu

Nyimbo 5 Kutoka Burundi

Link: https://www.spreaker.com/show/kisleu-da-shebys-show

Kama unahitaji maelezo zaidi, nitumie email kwa SimamiaTeam@gmail.com na tunashukuru kwa kuendelea kutufatilia kupitia mtandao wa Simamia.com

 

 

SHARE
Previous articleMadaktari watenganisha pacha walioshikana vichwa

Kwa jina anaitwa Shaban Rashid Said Kisleu na ni mhariri hapa Simamia Media Group.

Natumaini mtafurahishwa na yake nitakayowaletea na mtaendelea kufatilia mitandao wa Simamia.com

Kumfikia, tuma email SimamiaTeam@gmail.com

4 COMMENTS

  1. Kumbe ulikua ni mwizi halafu unajifanya mlokole anayeamsha watu asubuhi waamke wasali… Bora ungeozea huko huko gerezani. Ila kifungo cha mwezi mmoja kitakua kimekufunza. Komaa kiume ume maana wizi utakufikisha pabaya.

  2. Nimesoma ujumbe huu kwanza ni kosa kubwa kutumia jina la mwingine kuandika maelezo bila idhini yake. pili swala hili ni kuwapotosha watu.. mtu anayejua anachokifanya kamweee hawezi kufanya kitu kama hiki.. Mtu mwenye kuelewa anachokifanya ataumiiza kichwa il awaze kusonge mbele.

  3. Hapana, huyu bwana mdogo alipewa mashariti aombe msamaha na hayo ndio ameyaandika. Angalia hata video yake, anakili kuwa kapewa na katafuna pesa za kampuni.

    Halafu cha kushangaza, amedakwa na polisi alipokuja kupokea mizigo kutoka bandalini ili aingie nayo mitini. Ni tapeli mdogo ambaye anatumia neno la Mungu (ulokole) kuiba. Angalia hizo links za pindi ambavyo ameshafanya nyuma na angalia pesa alizokuwa amekabidhiwa na ameagizwa akanunue vilivyoagizwa yeye akajifanya kukimbia nazo. Alipochukua hizo pesa, hata kwenye mikutano ya kiuandishi alikua anaikwepa.

    Kwa hiyo anajua alichokua anafanya na ni vizuri ulimwengu ukajua hilo. Kama anabisha, basi atupeleke mahakamani kwa sababu ushahidi wote upo. Hata kanisa alilodai alikua anasali na kufanya kazi, wamemkana. Wanadai alisali pale zamani sana alipokua house boy kwa mtu kipindi hicho, kuwa hata haishi yale maeneo tena.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here