Home Entertainment Mrembo wa Kirundi aliyezaa mapacha wawili na Diamond Akabidhi watoto kwa Baba...

Mrembo wa Kirundi aliyezaa mapacha wawili na Diamond Akabidhi watoto kwa Baba yao.

940
6
SHARE
Picha kwenye grid. Aliyevalia suti (Diamond) watoto wawili wa kike mapacha na mama yao anahedai kuzaa na Diamond.
Inaripotiwa kutoka simamia.com na (Shaaban)

Kwa Ufupi: Ni habari ya muendelezo kumuhusu Diamond Platunumz kudaiwa kuwa na watoto wengi alio wazaa njee.

kisleufahari@gmail.com/simamiateam@gmail.com

Burundi: Mrembo mwingine anayedaiwa kuwa miss Burundi pia alianika katika ukurasa wake wa Instagram akimlaum Diamond, kwa kumtelekezea watoto huku na kule tulibahatika kupata kipande cha audio alipokuwa akipiga story na mwandishi wa Habari wa hapa kwetu Dar Es salaam. Tumekuwekea video hapo chini unaweza kutazama Kisha uweze kutoa maoni.

Unafikiri sura gani anayoijenga Diamond kwa matukio ya namna hii tuandikie maoni yako hapo chini kwenye comment.

6 COMMENTS

Comments are closed.