Home Entertainment Diamond Afunguka Kolabo yake na Rick Ross.

Diamond Afunguka Kolabo yake na Rick Ross.

294
1
SHARE
Moja ya picha zilizo vuja zikionyesha utengenezwaji wa video mpya ya Diamond na Rick Ross. wakiwa pamoja hiyo.
Inaripotiwa na (Shaaban) kutoka simamia.com

Kwa Ufupi: Mkali wa Mziki wa Bongo Diamond ameeleza mambo machache kuhusu kolabo yake na rapper wa Marekani, Rick Ross.

simamiateam@gmail.com

Dar Es salaam. Muimbaji huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma yake mpya ‘Hallelujah’ ameiambia Coconut Fm kuwa ngoma hiyo ni yake Rick Ross kashirikishwa tu.

“Ni wimbo ni wangu mpya nimemshirikisha Rick Ross, kusema wimbo unaitwaje hiyo bado” amesema Diamond.

Katika hatua nyingine amezungumzia ngoma yake ‘Hallelujah’ aliyowashirikisha Morgan Heritage kwa kusema ngoma hiyo alikuwa ameshafanya verse moja na chorus, hivyo walichofanya kundi hilo ni kutuma verse yao tu na mchezo ukawa umeisha.

Endelea kujiunga na simamia husipitwe na Habari, teknlogia na mambo yoote mazuri na muhimu.

1 COMMENT

Comments are closed.