Home Business Baada ya Ndege ya Tanzania kuzuiwa Canada hii hapa kauri ya...

Baada ya Ndege ya Tanzania kuzuiwa Canada hii hapa kauri ya serikali kwa wanasiasa.

1769
4
SHARE
kutoka simamia na (Shaaban)

Msemaji wa Serikali amekiri kuwa Ndege mpya aina ya Bombardier Q-400 Dash 8 iliyonunuliwa na Serikali inashikiliwa nchini Canada.

Akizungumza na Wanahabari, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari, Bi. Zamaradi Kawawa …amesema mgogoro huo umeanzishwa na wanasiasa.

Serikali leo imekiri dosari kuukumba mchakato wa ununuzi wa ndege ya tatu aina ya Bombadier iliyokuwa itue nchini mwezi Julai mwaka huu huku ikiwataka watanzania kuwa watulivu kwa kuwa ndege hiyo ipo na itakuja nchini mara baada ya kutatuliwa kwa mambo yaliyokwamisha mpango huyo.

Kaimu mkurugenzi mkuu wa idara ya habari Zamaradi Kawawa amesema ununuzi wa ndege hiyo umeingiliwa na mgogoro uliotengenezwa na wanasiasa na watu wasioitakia mema Tanzania.

“The politicians who make up the crisis are involved in the development of civilians and civilians.” Diplomatic and law-making measures have begun to take place in order to end this. “The third Bombadier plane is there and therefore the people believe their government” said Kawawa Emirates.

Amesema serikali imesitishwa na ushiriki wa wanasiasa na baadhi ya watu kuendeleza maendeleo ya nchi na kuwataka Watanzania kuwa patriani katika kulinda, kutetea na kukabiliana na masuala yote ambayo yanaleta maendeleo.

Asante saana kwa kuiamini simamia.com ikupe habari za Uhakika andika maoni yako kuhusu taharifa hii hapo chini kwenye comment.

4 COMMENTS

  1. Kama asingesema lisu tungejua wapi .nabado mengi haya jajibiwa swala la kesi zilizoko nje ni ngapi nagarama zakushugulikia kesi hizo Tunaitaji MAJIBU YA WAZI ILI TUENDLEE IMANI JUU YA HAYO

Comments are closed.