Home Business Airtel Yang’ara ripoti ya “TCRA”

Airtel Yang’ara ripoti ya “TCRA”

102
0
SHARE
kutoka simamia na (Shaaban)

Kulingana na ripoti ya robo ya pili ya 2017 (TRCA’s Quarterly Communication Statistics Report), makampuni ya simu za mkononi Tanzania yaliongeza watumiaji wapya wa huduma za kifedha 1,059,163 milioni kwa kipindi cha April mpaka Juni.

Kutokana na idadi hiyo, Airtel Tanzania ilisajili wateja wapya 1,038,193. Hii inamaanisha ya kwamba kwa kipindi hicho asilimia 98 ya wateja wa huduma za kifedha za simu za mkononi wapya waliojiunga na Airtel Tanzania. simamia.com Inawapongeza saana Airtel Tanzania hongera kwa kazi kubwa tupo nanyi kwa mashirikiano..

Asante kwa kuichagua simamia kwa Habari za kweli na Uhakika.