Home Entertainment Damond Platnumz akubali kuwalea watoto wa Zari na Ivan.

Damond Platnumz akubali kuwalea watoto wa Zari na Ivan.

SHARE

 

kutoka simamia Na (Shaaban)

“Hapa Diamond ambaye kwa sasa ndiye Mme wake na Mama watoto wa marehemu Ivan Anasema.”

::Nimepokea kwa masitikiko na Nimesjisikia vibaya saana ila kwa sababu Mungu ndiye anapanga Nilikuwa nazungumza pia na mama yao (Zari) nikamwambia penye Uhitaji wangu sitoambiwa lakini kadiri ya uwezo wangu sio lazima kuambiwa Mimi mwenyewe chochote nitakachoona kinaweza kuwafanya comfortable kwa sababu wako katika kipindi ambacho wanauhitaji saana Na sapoti yetu sio yangu mimi tuu ni ya kila mtu kwa sababu wale ni watoto na wanahitaji sapoti ya wote wakinihitaji mda woote kadili ya uwezo wangu nitakuwa nao.
Amesema Diamond Platnum.

Hapa chinitumekuwekea video fupi ya interview wakati akizungumza.