Home News Bangladesh yakumbwa na Roanu

Bangladesh yakumbwa na Roanu

223
0
SHARE

upepoKokoten1KokoteniKokoteni1

RoanuĀ niĀ kimbunga kikali likimetua Bangladesh na kusababisha mamia ya watu kupoteza makazi na watu 24 kupoteza uhai, kama ilivyoripotiwa na vyombo vyahabari nchini Bangladesh.

Mvua na upepo mkali ulifatia baada ya kimbunga. Wakoaji wanaendelea kuokoa majeruhi na kusaidia Taifa hilo katika kipindi hiki kigumu.

 

Baadhi ya njia za usafirishaji hazipitiki kutokana na hili janga la kimbunga. Viwanja vya ndege vimeanja kufunguliwa ili kurahisisha misaada kutoka nje iweze kuwafikia wanaoihitaji haraka.

 

 

 

SHARE
Previous articleKenya: Turudi kwetu na tujitegemee
Next articleMapenzi ya wawili usiyaingilie
Karibuni sana kwa majina naitwa Director Flan. Ni mwandishi wa kuaminika Africa Mashariki na Kati Tutakuwa wote kwenye blog hii ya Www.Simamia.com. Nitakuwa natoa habari za kimataifa pamoja za michezo bila kusahau kufundisha ujasilimali hapa hapa kwenye hii blog. Tembelea hii blog ya Www.Simamia.com mara kwa mara ili kujipatia habary moto moto. Nashukuru sana na karibuni.