Wednesday, January 24, 2018
Home Authors Posts by Baraka Bitariho

Baraka Bitariho

947 POSTS 0 COMMENTS
Simamia is a news house where visitors will get up to date information on news, events, and so on. Join us to get updated, entertained and learn. Our website is www.Simamia.com or email us at SimamiaTeam@gmail.com

Bei ya mafuta kwa mwezi wa saba ya shuka

Na Simamiateam MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imetoa bei kikomo   za mafuta ambapo petroli, diseli na mafuta ya taa...

TLS wapinga kuundwa kwa Bodi ya Usajili wa wanasheria

Na Simamiateam CHAMA cha Wanashreria wa Tanganyika (TLS) kimepinga pendekezo la kuundwa kwa Bodi ya Usajili wa wanasheria nchini itakayokuwa chini ya Waziri Wa Katiba...

Fujo Mahakamani

MKAZI wa Temeke Abdalah Ramadhan (29), amefikishwa mahakama ya mwanzo Kariakoo kwa tuhuma za kufanya fujo kituo cha Polisi Msimbazi. Akimsomea mashtaka hayo jana, Karani...

Polepole – Wanafunzi changueni masomo ama mimba

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeunga mkono kauli ya Rais John Magufuli ya kutowaruhusu wanafunzi waliopata ujauzito kurudi shuleni na kuendelea na masomo baada ya kujifungua. Kauli hiyo ilitolewa...

Sio Siri tena, Diamond Platnumz ajiopolea Mzungu

Inasemekana kwa sasa msanii maarufu ajulikanae kama Diamond Platnumz kwa sasa yupo na mzungu. Maelezo kamili angalia video mwenyewe https://youtu.be/kVQxGl3vu1M http://https://youtu.be/kVQxGl3vu1M

Raia wa Kigeni nchini Tanzania Wajijuee

Wageni wataanzwa kuchunguzwa kama wapo nchini kihari. Sistim ya kikazi maarufu kama E-Varify yaanza kutumika nchini Tanzania. Story kamili hii hapa. Hamna darali kwenye...

Bitariho awashauri Gwajima na Makonda

Mmiliki wa mtandao wa wananchi, Simamia.com, Baraka Bitariho ameshauri Askofu Gwajima na Mheshimiwa Makonda wamalizane marumbano yao kistaalabu. Bitariho aita haya maarumbano ushamba wa...

Nyerere Akamatwa

Kisa cha Yeriko Nyerere kukamatwa ila hakufikishwa mahakamani kutokana na mambo mbali mbali - adai mkewe Neema Alex. Taarifa zinadai kuwa mpango mzima wa Yeriko...

Wapinzani waunga mkono swala la mchanga

Wapinzani tofauti tofauti wamekua wakipishana juu ya swala la rais Magufuli kuzuia mchanga wa madini kupelekwa nje ya nchi. Lyatonga Mrema akili kuwa Watanzania...

Ajari Mbaya – Huko Marekani

Siku kuu sehemu nyingi huwa ni siku ya kushangilia na kwa baadhi ya wengine huwa ni siku ya majonzi. Mwandishi wa mtandao wa simamia.com...

Gwajima ndie baba

Mchungaji maarufu kwa jina la Gwajima hapa Dar anayejulikana kwa kuporomosha madongo madhabahuni kwa wale anaopishana nao mawazo atajwa kuwa baba. Josephat Gwajima, ambaye...

Muhammad Ali: Nyota wa zamani wa ndundi aaga dunia

Nyota wa dundi duniani wa zamani, Muhammad Ali, amefariki usiku wa kuamkia leo, Jumamos June 4 huko mjini Phonex, kwenye jimbo la Arizona nchini...