Monday, November 20, 2017
Home Authors Posts by Shaaban

Shaaban

150 POSTS 6 COMMENTS
Mhariri wa simamia media na mmoja kati ya wafuasi wa simamia media, pamoja tusimamie ili tuendelee kuikuza simamia media. basi ningependa kusikia kutoka kwako nitumie barua pepe. kisleufahari@gmail.com au fuata mitandao yangu.

Ushahidi kamili alio utoa kuhusu kifo cha Kanumba. mahakamani leo.

kutoka simamia na (Shaaban) kwa ufupi: Ni muendelezo kuhusu kesi ya muigizaji (Lulu) kumuua mwenzie bila kukusudia. simamiateam@gmail.com Dar Es salaam. Msanii wa filamu, Elizabeth Michael (22)...

Bilioni 700 tulizozipata Magufuli Anasitaili pongezi.

kutoka simamia na (Shaaban) Tangu kuwepo kwa zuio la usafirishaji wa mchanga wa dhahabu (makinikia) kwenda nje lililofanywa na Rais Dk. John Pombe Magufuli, nilieleza...

BrekingNwz: Matokeo Darasa la saba 2017, haya hapa.

kutoka simamia na (Shaaban) Habari karibu kwenye simamia.com Necta imetangaza matokeo ya darasa la saba 2017. bonyeza hapo chini. kwenye maandishi ya bluu kuyasoma.↓↓↓↓↓ kisha...

Mdogo wa Kanumba aendelea kuyamwaga adharani mengi kuhusu kifo cha kaka...

kutoka simamia na (Shaaban) Kwa ufupi: Lulu anadaiwa kumuua Kanumba bila kukusudia Aprili 7, 2012. simamiateam@gmail.com Dar es Salaam. Shahidi wa kwanza wa upande wa mashtaka Seth Bosco,...

List ya viongozi wa ACT walio miminika CCM wakidai kumkubali Magufuli.

kutoka simamia na (Shaaban) Kwa Ufupi: Siku ya leo, aliyekuwa Katibu wa Chama cha ACT Wazalendo, Samson Mwigamba ametangaza kujivua uanachama wa chama chake na...

Aandika Afisa Habari wa CHADEMA-Makao makuu Kinondoni Mhe. Tumaini Makene.

Inaripotiwa na (Shaaban) kutoka simamia.com Kwa Ufupi: ufuatia ripoti ya Barrick iliyotolewa leo mchana ikulu Chama cha Demokrasia na Maendeleo kitazungumza na waandishi wa habari...

Kesi ya Lulu kumuua muigizaji Kanumba yaanza kusikilizwa upya.

Inaripotiwa na (Shaaban) kutoka simamia.com Kwa Ufupi: Mahakama Kuu ya Tanzania inatarajia kuendelea kusikiliza ushahidi wa kesi ya mauaji bila kukusudia inayomkabili muigizaji Elizabeth Michael...

Diamond Afunguka Kolabo yake na Rick Ross.

Inaripotiwa na (Shaaban) kutoka simamia.com Kwa Ufupi: Mkali wa Mziki wa Bongo Diamond ameeleza mambo machache kuhusu kolabo yake na rapper wa Marekani, Rick Ross. simamiateam@gmail.com Dar...

Fahamu, Kati ya pin na Password kipi bora Android, IOS #Usalama.

Inaripotiwa na (Shaaban) kutoka simamia.com Kwa ufupi: Ufunguaji wa simu wakati ikiwa imelokiwa ulikua ni rahisi sana hapo mwanzo, lakini kumbuka kuwa ilikua ni rahisi...

Joshua Nassari Apewa Onyo Kalii, Na takukuru.

Inaripotiwa na (Shaaban) kutoka simamia.com Kwa Ufupi: Mkurugenzi wa Takukuru, Valentino Mlowola amemuonya Mbunge Joshua Nassari kutokana na kutoa taarifa za uchunguzi kwenye vyombo vya...

Fid Q afunguka kuhusu mpango wa kuingia kwenye siasa.

Inaripotiwa na (Shaaban) kutoka simamia.com Kwa Ufupi: Msanii Fid Q amesema hana mpango wa kuingia kwenye siasa licha ya kupokea ushauri kutoka kwa mashabiki wake. simamiateam@gmail.com Dar...

Mwanaume Aliyelipa mil. 50 kubadilisha sura awe kama mwanamke akimbiwa na...

Inaripotiwa na (Shaaban) kutoka simamia.com Kwa Ufupi: Mwanamme mmoja nchini Colombia aliyetambulika kwa jina la Jerson Trujillo,amejikuta akiugulia maumivu ya kujitakia baada ya kukimbiwa na madaktari...