Home Latest News (Audio) Waliompigia kura Tundu Lissu wakusanyika kuombolezea Kura zao.

(Audio) Waliompigia kura Tundu Lissu wakusanyika kuombolezea Kura zao.

5884
9
SHARE
kutoka simamiaMedia na (Shaaban)

Wakazi wa Singida mjini na waumini wa kanisa la Angilikana wamekutana, kulaani vikali tabia za baadhi ya viongozi wa kisiasa hapa nchini, wanao jiusisha katika kupinga maendeleo ya taifa zima.. Samweli ni Asikofu mkuu jimbo la Singida na yeye ndiye aliyekuwa wa kwanza kusimama na kuzungumza kuwa “Tufurahie Nchii yetu Wadogo zangu tumtumikie MUNGU, tumuombee mkuu wetu wa Nchi, mzee John Joseph Pombe Magufuli. gurudum analolisukuma na sisi tumuunge mkono” na kuongeza kuwa “Tanzania ni Nchi Iliyobalikiwa kwa hivyo watanzania woote tuzishiriki hizo baraka Akimaliza Magufuli akiingia mwingine ashikilie hapo hapo watu wa Tanzania wasikie rahaaa” Aidha wamesema hata kama serikali Itashitakiwa katika Mahakama za kimataifa lakini watanzania walio wengi wanatambua jitihada zinazofanywa na serikali katika kutetea masilahi ya wengi.. kisha waumini wa Kanisa hilo na wote waliokusanyika katika Ibada hiyo wakafanya maombi maalumu ya kuwaombea viongozi, na Taifa kwa ujumla maombi hayo yakiongozwa na makam wa Askofu wa kanisa hilo hapa Nchini, Sitive Mlenga. Ambapo waliwataja viongozi watatu; Rais Magufuli, waziri mkuu Kassim Majaliwa na Makamu wa Rais Samia Suruhu Hasani. Kisha kuitimisha kwa makofi na vigelegele kama ishara ya kukamilisha Ibada yao. kutoka Singida ni Leonard Manga. Hapa chini tumekuwekea Audio ya Ibada hiyo kwa ufupi.

Nini mjadala wako kuhusu tukio hili la aina yake tuandikie hapo chini kwenye comment. Asante kwa kuichagua simamia timu yetu imejipanga kuhakikisha hupitwi na chochote. kila mara tembele www.simami.com

9 COMMENTS

  1. Tanzania nchi ina fitna aiseeee….hayo maombolezo niyanamna gani kama sio yakupanga…
    Juzijuzi walimfanyia sherehe nakumuosha kama shujaaa…..leo wanaomboleza nini!!!!

  2. Comment:mwandishi hujielewi navwaombolezaji wako. yaan MTU anatoa ushauri wa kufuata sheria zen ninyi mnaleta ngonjera. duhhh

  3. Tanzania tuna shida saana;! Watu wanaambiwa ukweli hawautaki wanataka kupambwa njee huku ndani kuchafu… Waaacheni watengeneze maandamano Na maombelezo… Elimu ; siasa Safi Na uongozi bora bado vinaitajika saana Tanzania.

  4. mbona mwandishi haeleweke wanaoomboleza ni watu singida mjini kwanini anasema waliompigia kura? kwani lissu ni singida mjini? halafu sijawhi kuona waombolezaji wanacheka!

  5. Comment: Tunachohhtji Ni Mabadiliko Ngonjera Na Popote Kama Hakuna Upinzan Jua No Maendeleo Hapo

  6. Comment:ukweli siku zote unauma na asemae kweli lazima atachukiwa tu,s wakwanza Lisu mtamzulia na kumchukia sana anatoa yale mlioyafanya siri achen sanaa a siasa kwenye maendeleo mnacheza na maisha ya ss wanyonge nyie mnakula bata!!!halafu mbumbumbu anashangilia,sawa ma maskin kuokota makombo chin ya meza ya tajiri halaf unasema we mjanja!

Comments are closed.